Ur welcome my wifeAsante my hubby
Mkuu kumbe unaniuza hapa isije ikawa jamaa anacheza judo huyu
haha bas hakuna shaka ngoja nisubirie nae ajeTehe tehee... Sina msaada labda jaribu kwa cute b yeye yuko 'singo'.
Cc: Faiza foxy kuja tuunde caople huku
Dua la kuku, vipi umekosa amani???....Naomba uzame
Hapana njaa tu ndo iliniamsha
HapanaDua la kuku, vipi umekosa amani???....
Eti nasikia bei ya sukari imeshukanamuona, badala achat na manzi wake kazi kudandia wa wenzake
Cc: Faiza foxy kuja tuunde caople huku
Hahahahaa..... mie nilisema, uzuri kingereza sijui.We kapuku, ndiyo nini hicho?
MmmmhWe kapuku, ndiyo nini hicho?
Mbona waniombea nizame? Hutaki upinzani???Hapana
Nimesema tuMbona waniombea nizame? Hutaki upinzani???
Baelezeeeeeeeeee.......... Ila yangu ni perfecto!Ndoa bongo? Ndoa yangu na P tu nyingine zote ndoano![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
eti nasikia kilo 800 sijuiEti nasikia bei ya sukari imeshuka
Huyu hapa mkuu. Pole kwa kusubirihaha bas hakuna shaka ngoja nisubirie nae aje