FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
sasa huoni kama lengo langu lq kukuita limeshatimia..
bila kuandika wrong usingekuja
Nimeamini, wewe kweli kapuku.
sasa huoni kama lengo langu lq kukuita limeshatimia..
bila kuandika wrong usingekuja
Njema kabisaSalama kabisa. Za wewe
air pollution, pepo tokaaaThe thread has been contaminated
youngblood mzima lakini?Njema kabisa
Na vijana wa CCM wataitwaje?Inawezekana kabisa, kwani nyie wote si vijana humu?
Maana ya Al Shabab ni vijana, kama ulikuwa huelewi.
Hata Yanga ukiwatafsiri Kiarabu wanakuwa ni Al Shabab Afriqiya, vijana wa Kiafrika au Young Africans.
Hapana
Tulienda kujifunza SEX
....................
Hata kama ukinitukana wewe ni bibi, siwezi kukurudishia ubaya kwa ubaya.Ningekuwa nnalo jibu nisingeuliza swali.
Hivi hiyo shule ulienda kusomea ujinga?
Ujumbe wangu wa leo....
"Bora kukaa bench Barcelona kuliko kuchezea Manchester united"
mchana huuyale maneno uliyonambia wakati tunachat pm nimeyapenda hebu niambie na hapaHhahaa bahati gan
Nami nilijua sanaaaaaaaaaaa kuwa ulifanya kusudilengo langu tayari limeshatimia..
nliandika hovyo ili nikijua ni lazima atakuja tuu
Na vijana wa CCM wataitwaje?
Ni SPECIAL SEXSasa si ndiyo ujinga wenyewe huo. SEX badala ya kufundishwa makwenu mmekwenda kufundishwa shule!
Kweli hamjachezwa nyinyi.
Ndiyo maana mkajiita makapuku?
Tuambie kwa kiarabu bibieVijana.
Malizia tu... .. Makapuku kuchat ni jadi yetuNimesoma post na hata sijazimaliza jinsi zilivyo nyingi. Habari za mchana lakini??