Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Maneno gani Hayo?yale maneno uliyonambia wakati tunachat pm nimeyapenda hebu niambie na hapa
Maneno gani Hayo?yale maneno uliyonambia wakati tunachat pm nimeyapenda hebu niambie na hapa
Imenibidi niziruke tu. Ziko 600Malizia tu... .. Makapuku kuchat ni jadi yetu

....I was dreaming

Ishindwe na kuweweseka....kwa jina la makapuku tooooooo kaa aaaaaair pollution, pepo tokaaa
nilikuwa nimekumiss sana..Nimeamini, wewe kweli kapuku.
tulia al shababManeno gani Hayo?
Boko haramuNa vijana wa CCM wataitwaje?
Nahrene..Njema kabisa
Basi bibi... Inatosha... Unaweza kuondoka sasa?Sasa si ndiyo ujinga wenyewe huo. SEX badala ya kufundishwa makwenu mmekwenda kufundishwa shule!
Kweli hamjachezwa nyinyi.
Ndiyo maana mkajiita makapuku?
YesNahrene..
Najua nitakupata wapi wewetulia al shabab
ujumbe wa leo..Ujumbe wangu wa leo....
"Bora kukaa bench Barcelona kuliko kuchezea Manchester united"

Nimemuona huyo
Hahahahahaaaa......Vijana.
Halafu kamanda wao eti alikuwa Kingunge na yeye alikuwa bado anajiita kijana.
Walijuwa kumnanga.
kausha basi, umemwita wa nini sasa
leo hatujawasiliana kabisa..