Makapuku Forum

Makapuku Forum

"Nmekuja kufizia post ya 86k, hivyo uimwambie mtu"
1471506158849.jpg
 
Yule sijul Valentina alizingua makapuku halafu km unavyojua ni kingongo mashauzi na wao wana thread yao special so huku HATUMTAKI lakini hachoki kujipendekeza hata tumkaushie vipi.....so km una urafiki nae sio mbaya Ni ISHU YENU PRIVATE ......Makapuku hatumtaki km ni kuchat nae mfuate hata kule kwenye kauzi kake ka birthday na lile zee lake lkn huku ukumbi wetu Makapuku no shobo kwa vingongo mashauzi
Peace & Love
......................
Jonax sikujua hilo wangu, wala hata sina urafiki nae! mi nimeona amesalimia nikajua labda nae ni memba wa huku ila alikuwa hachat tu...ndio nikamjibu, kumbe alizingua?? yaah naona ana birthday sijui wanampromote...labda anataka atoe mualiko huwezi jua
 
Umemkariri Jonax tu....kweli kikofia kina juju
Take it easy.....tupotezee tusimpe promo
Tufanye mengine
.............................
 
Yule sijul Valentina alizingua makapuku halafu km unavyojua ni kingongo mashauzi na wao wana thread yao special so huku HATUMTAKI lakini hachoki kujipendekeza hata tumkaushie vipi.....so km una urafiki nae sio mbaya Ni ISHU YENU PRIVATE ......Makapuku hatumtaki km ni kuchat nae mfuate hata kule kwenye kauzi kake ka birthday na lile zee lake lkn huku ukumbi wetu Makapuku no shobo kwa vingongo mashauzi
Peace & Love
......................
Hatuwataki vingongo.
1471506763874.jpg
period.
 
Jonax sikujua hilo wangu, wala hata sina urafiki nae! mi nimeona amesalimia nikajua labda nae ni memba wa huku ila alikuwa hachat tu...ndio nikamjibu, kumbe alizingua?? yaah naona ana birthday sijui wanampromote...labda anataka atoe mualiko huwezi jua
Hayo maneno kakwambia Bitoz na siyo mimi.

Mbona unataka unifananishe na Bitoz uchwara aisee?
1471507027015.jpg
sifanani naye hommie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom