Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,079
Hakika nmeshapata mke mwema hapaJonax umetisha sana
Hakika nmeshapata mke mwema hapaJonax umetisha sana
Mtoto wa mjini afu unakojoa hadharani hivyo!!?...mhhhh![emoji23] [emoji23] , ngoja nikamuelezee kaka angu kwanza akikubali tutayajenga[emoji56][emoji56][emoji56][emoji38][emoji38][emoji38]Kumbuka mume mwema hutoka kwa bwana.
Hivyo bwana ameshajibu maombi yako tayari.
Hivyo haina budi kukubali coz nmeshakuwa mteule tayari.
Waaapi...wala.Leo umeamka na hang-over[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji20] Au unaionea wivu kupata mke kwa njia ya roho mtakatifu?[emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53]
Hizi ni swagger tu.Mtoto wa mjini afu unakojoa hadharani hivyo!!?...mhhhh![emoji23] [emoji23] , ngoja nikamuelezee kaka angu kwanza akikubali tutayajenga[emoji56][emoji56][emoji56][emoji38][emoji38][emoji38]
Ume-quote quote ya mtu ukajimilikisha then ukam-quote Butoz ukamwita Jonax[emoji23]Waaapi...wala.
Hizi ni swagger tu.Mtoto wa mjini afu unakojoa hadharani hivyo!!?...mhhhh![emoji23] [emoji23] , ngoja nikamuelezee kaka angu kwanza akikubali tutayajenga[emoji56][emoji56][emoji56][emoji38][emoji38][emoji38]
Hii hongera...utakuwa tajiri sana wewe [emoji16] tayari umeleta mengine? [emoji33]Hizi ni swagger tu.
Hivi unakumbuka yale mabus ya city boy yaliyopata ajali Manyoni Singida mwezi uliopita hapo?
Sasa yale mabus ni yangu na Kampuni ya CITY BOY kwa ujumla ni yangu.
Sasa wewe chezea bahati uone utakavyoijutia
Hamuna Papaa, we yajenge tu[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji20] Au unaionea wivu kupata mke kwa njia ya roho mtakatifu?
Lisemwalo lipoLeo umeamka na hang-over[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji53] asa kumbe nini?Ume-quote quote ya mtu ukajimilikisha then ukam-quote Butoz ukamwita Jonax[emoji23]
Cc QuigleyMtoto wa mjini afu unakojoa hadharani hivyo!!?...mhhhh![emoji23] [emoji23] , ngoja nikamuelezee kaka angu kwanza akikubali tutayajenga[emoji56][emoji56][emoji56][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizi ni swagger tu.
Hivi unakumbuka yale mabus ya city boy yaliyopata ajali Manyoni Singida mwezi uliopita hapo?
Sasa yale mabus ni yangu na Kampuni ya CITY BOY kwa ujumla ni yangu.
Sasa wewe chezea bahati uone utakavyoijutia
Hapo ndipo nilipochemka sasa [emoji23][emoji23]Ume-quote quote ya mtu ukajimilikisha then ukam-quote Butoz ukamwita Jonax[emoji23]
Kawa mtakatifu[emoji20] Au unaionea wivu kupata mke kwa njia ya roho mtakatifu?
Hang-over[emoji53] asa kumbe nini?
Niko vizuri sana kimkwanja, siunaona jinsi nilivyo na kitambi cha kuvalia tai hapoHii hongera...utakuwa tajiri sana wewe [emoji16] tayari umeleta mengine? [emoji33]
Wee Jonax mbona unanilingishia mabasi akati mimi sitaki vitu nataka mtu.Hizi ni swagger tu.
Hivi unakumbuka yale mabus ya city boy yaliyopata ajali Manyoni Singida mwezi uliopita hapo?
Sasa yale mabus ni yangu na Kampuni ya CITY BOY kwa ujumla ni yangu.
Sasa wewe chezea bahati uone utakavyoijutia
Miraba mi4!! hahahaaNiko vizuri sana kimkwanja, siunaona jinsi nilivyo na kitambi cha kuvalia tai hapoView attachment 383739[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]