Makapuku Forum

Makapuku Forum

FIX ZA BITOZ:
Kifo cha aliyewahi kuwa Karibu Mkuu wa Chama Cha Mazoba (CCM) Marehemu Horace Kolimba ni miongoni vya vifo tata zaidi Bongoland...

Hatari Horace Kolimba siku chache kabla ya maahibu alitamka kwamba Chama Cha Majipu kimepoteza mwelekeo...kauli ambayo haikuwapendeza wakubwa wake

Aliitwa kule kwenye Ukumbi maarufu wa Mshamba uitwao Chimwaga kuhojiwa starehe 13/3/1997 ambapo inadaiwa alisekewa sumu kwenye MIC...wakati wa kujieleza ghafla anaanza kujisikia vibaya zen kutema kabisa uhai.....kweli Polifix is dangerous hadi leo ukweli umefichwa zimebaki fix tu
R.I.P Horace KolimbaView attachment 383438View attachment 383439
*********************************
R.I.P muheshimiwa Kolimba.
 
Leo katika Historia:

1989 - Luis Carlos Galan anauwawa.

Alikuwa ni mgombea Urais mwenye nguvu katika Uchaguzi Mkuu wa Colombia.

Moja kati ya ahadi yake katika kampeni, ilikuwa ni kupambana na mfabyabiashara mashuhuri wa madawa ya kulevya, Pablo Escobar.

Hivyo inaaminika aliuwawa na Pablo Escobar kabla ya Uchaguzi ili asiingie madarakani.
1471502821354.jpg
1471502828513.jpg
Never trust politicians
.........
 
Leo katika Historia:

1980 - Esteban Cambiasso anazaliwa.

Ni kiungo mkabaji wa zamani wa Real Madrid, Inter Milan, Leicester City na timu ya taifa ya Argentina.

Anajulikana zaidi kwa staili yake ya Kipara.

Katika Kombe la Dunia mwaka 2006, Cambiasso alifunga goli dhidi ya Serbia, goli hilo lilitokana na idadi ya pasi 23 bila kuguswa na mchezaji wa Serbia.
 
Leo katika Historia:

1984 - Ni siku ya kuzaliwa kwa Robert Huth.

Ni beki wa zamani wa Chelsea, Stoke city na Leicester City.

Alikuwa ni sehemu muhimu katika timu ya Leicester City iliyobeba ubingwa wa EPL msimu uliopita ambapo alitengeneza kombinesheni ya hatari na Captain wa Leicester, Wes Morgan.
 
Leo katika Historia:

1933 - Just Fontaine anazaliwa.

Ni straika wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ufaransa.

Anashikilia rekodi ya kufunga magoli 13 katika michezo 6 aliyocheza ya kombe la Dunia, katika michuano iliyofanyika pale Sweden mwaka 1958.

Alishiriki kombe la Dunia mara moja na Kufunga goli 13. Ni rekodi ya pekee.
1471503487892.jpg
1471503493051.jpg
Hatari sn
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom