briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Nakuona tu, mafua yameisha kabisa?Ndio leo niko vizuri
Nakuona tu, mafua yameisha kabisa?Ndio leo niko vizuri
Leo katika Historia:
1984 - Ni siku ya kuzaliwa kwa Robert Huth.
Ni beki wa zamani wa Chelsea, Stoke city na Leicester City.
Alikuwa ni sehemu muhimu katika timu ya Leicester City iliyobeba ubingwa wa EPL msimu uliopita ambapo alitengeneza kombinesheni ya hatari na Captain wa Leicester, Wes Morgan.
Nikuambie kitu mtoto mzuri?Safiiii
Yameisha, nimefurahi sanaNakuona tu, mafua yameisha kabisa?
Nambie...Nikuambie kitu mtoto mzuri?
Goodmorning Sheme.Good morning all
Wanatisha sana Hao JamaaChezea wazee wa sembe, hao jamaa wanawaza mara moja tu hawapendi kukosea mishe zao kabisa
Sogeza sikioNambie...
, nkunong'oneze ili wengine wasisikieIle 'ladies first' mi nilidhani ni kwenye maharusi tu kumbe we unaiapply kila mahali.. Umetisha asee, niaje lakin?Haya, NIAJE MASELA?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Leo katika Historia:
1997 - Renato Sanchez anazaliwa.
Ni mchezaji kinda wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ureno.
UpoHaya, NIAJE MASELA?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
R.I.PR.I.P Stevie B
Ile 'ladies first' mi nilidhani ni kwenye maharusi tu kumbe we unaiapply kila mahali.. Umetisha asee, niaje lakin?
ila kwenye msosi gentlemen ndo firstNko mubaba, mishe ni gani?
Merci mon amiView attachment 383575View attachment 383577View attachment 383578
Kwa hisani ya shululu na nukuu ya Leo, sina la zaidi kutoka katika meza ya magazeti.
Jina langu naitwa Jimena Jimenes
Adios makapuku