briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Duh ubabe katika ubora wakeLeo katika Historia:
2008 - Rais Pervez Musharaf wa Pakistan, analazimishwa kujiuzulu wadhifa wa Urais wa nchi hiyo.
Licha ya kuwa Rais, pia alikuwa ni Jenerali katika Jeshi la Nchi hiyo.


