Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia:

1989 - Luis Carlos Galan anauwawa.

Alikuwa ni mgombea Urais mwenye nguvu katika Uchaguzi Mkuu wa Colombia.

Moja kati ya ahadi yake katika kampeni, ilikuwa ni kupambana na mfabyabiashara mashuhuri wa madawa ya kulevya, Pablo Escobar.

Hivyo inaaminika aliuwawa na Pablo Escobar kabla ya Uchaguzi ili asiingie madarakani.
Lazma huyo Pablo anahusika maana ni Mysterious sana hicho kifo
 
Leo katika Historia:

1935 - Hifikepunye Pohamba anazaliwa.

Ni Rais wa pili wa Namibia.
1471504565665.jpg
1471504571774.jpg
1471504576464.jpg
Jina lake janga
........
 
Leo katika Historia:

1989 - Luis Carlos Galan anauwawa.

Alikuwa ni mgombea Urais mwenye nguvu katika Uchaguzi Mkuu wa Colombia.

Moja kati ya ahadi yake katika kampeni, ilikuwa ni kupambana na mfabyabiashara mashuhuri wa madawa ya kulevya, Pablo Escobar.

Hivyo inaaminika aliuwawa na Pablo Escobar kabla ya Uchaguzi ili asiingie madarakani.
Huyo jamaa alikua haijui vizuri nguvu ya taita Pablo sio?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom