Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
HaaaaNi mbio za vijiti, imefika mahali unatakiwa unikabidhi kijiti![]()
Ndo kakwambia hvo!!?
HaaaaNi mbio za vijiti, imefika mahali unatakiwa unikabidhi kijiti![]()
PouwKm hujaelewa mezea
..................
Kama kohozi ukiwa kwenye haraiki ya watuKm hujaelewa mezea
..................
Mi ndo nataka iwe hivyo naona kama mbio zimekua ni ndefu sana kwako hahaa nataka nikusaidie ngwe iliyobakiHaaaa
Ndo kakwambia hvo!!?
UlegeeeeeMi ndo nataka iwe hivyo naona kama mbio zimekua ni ndefu sana kwako hahaa nataka nikusaidie ngwe iliyobaki
Hahahaha
Coz hatutaki kuwapa watu promo tunatumia majina ya mafumbo km Ngedere/Kichumvi,igweee ,Madenge,Kama kohozi ukiwa kwenye haraiki ya watu
susa n.k
Bwahahahahahaaaaah!!!Natoa pole nyingi sana kwa fans wote wa yanga humu ndani
Niwaambie tu azam hawana cha ushemeji wana kula tu
Thierry henry kichogo.. Huyu jamaa alinipa kila sababu ya kuipenda arsenal na ufaransa yake.. Bonge la player, ana kila kitu cha kuitwa mchezaj bora.
Good morning allGoodnight family