Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Nimeona hata mimi...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jamaa kapotea, alikuwa ana enda direction nzuriii
Aaagh!!
![]()
![]()

Nimeona hata mimi...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jamaa kapotea, alikuwa ana enda direction nzuriii
Aaagh!!
![]()
![]()

Leo...Cc JJ

Tuko pouwa kabisaHabari humu mko poa
Kawivu kaleeee....

Wezi hao...Afu niliskia walidanganya watalii ati huo mlima upo kwao Kenya kabisa...sijui wakoje!!
Pale hakuna tetesi zozote naona wako kikazi zaidiWilliam Levy ni shida nyingine ile asee...maana anapendwa na madem vibaya mno, afu yule Marichui kapona kweli yule kwa Levy maana sometimes wanafanya kwenye nje ya Scene.![]()
![]()
![]()
![]()

Inaonyesha vile unamfeelCuba kwa kina William Levy...![]()
Zote ni kali kusema kweliJimenna Cheki na ile aliyoimba na Cool J...All i have![]()
![]()
Hongera sana kwa kupiga hatua moja mbeleKaribu
I know your independent you can make it on your on...Cool J ananifurahisha anavyobembeleza...Don't make decisions when you mad![]()
, mradi tu Jenny asisepe.
Hahahaa Cool J naeeeI know your independent you can make it on your on...
Lakini aliimbisha mpaka akafanikiwa
Miss you more cuzoI missd u my sweet cousin
Rooney alitishaNumber 6, Wayne Rooney na Coleen McLoughlin – usd 8 Million View attachment 382219Rooney ambaye ni mchezaji wa Manchester unitd cf huko Uingereza, alimuoa coleen ambaye kwa wakati huo alikuwa ndo mpenzi wake wa kwanza na wa pekee tangu wakiwa wadogo harusi ilikuwa mnamo mwaka 2008 na wageni walikuwa 80 tuu na Rooney na mkewee walilipwa paund milioni 2.5 na kampuni moja ya mgzeti kuwa wapiga picha rasmi wa tukio hilo
Harusi ilikuwa na segmentbili ya kwanza ni iliyo husisha wageni wa alikwa na picha za watu mbali mbali hii ilifanyika kwenye jumba lenye miaka kama 330 hvi liitwalo Louis XVI chandler na seent ya pili ilihusu familia za maharusi tuu ambayo ilifanyika Riviera resort ya huko Santa Margherita Ligure na bwana harusi na ndugu zake walienda kwa ndege wakati bibi harusi na ndugu zake walienda kwa boti ziendazo kasi
Acha bangi basiNumber 3, Lady Diana na Prince Charles – usd 48 Million View attachment 382253 hii ilikuwa mwaka 1981, asa mi nge juaje kilicho endelea
Jarbuni ku google wenyewe

Naona wanaelekea kuwa kama Wanaijeria kwa wiziWezi hao...
Wameiba nyama South Africa wataachaa kuiba mlima uliopo hapo jirani yao kabisa?
Kumbuka hata Mugabe alisema hao ni professional thieves..
Ni kama kwenye curriculum zao kuna somo la wizi..