Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 3, Lady Diana na Prince Charles – usd 48 Million
1471286070601.jpg
hii ilikuwa mwaka 1981, asa mi nge juaje kilicho endelea
Jarbuni ku google wenyewe
 
Number 4, Prince William na Kate Middleton – usd 34 Million View attachment 382246hii ilikuwa ni harusi ya mjukuu wa malikia na mtoto wa princess Diana, ilioneshwa live kwenye kila televishen kubwa na wageni waalikwa walikuwa 1900 na kwa sababu ni harusi ya kitaifa protokali zilikuwa nyingi sana siku hiyo kwa kuwa na mie nlienda
Hawa mi nlijua watakua ndo namba moja.. Kumbe bado hawajajua kuspend vizuri
 
Number 2, Vanisha Mittal na Amit Bhatia – usd 60 Million
1471286168570.jpg
mwaka 2004, wageni waalikwa kwanza walipewa kadi kwenye box ya silver(pure silver), waliwekwa kwenyw hoteli ya nyota tano na wali kaa kwa siku 5 kwani harusi hii ilichukua siku sita, na pia badala ya wao kuwapa zawadi maharusi, wao waalikwa ndio walipewa zawadi kila mtu kidani(jewl) cha thamani alicho kitaka na cha aina yyte
Harusi ilifanyika chateau, Palace of Versailles, wageni walikuwa 1000 na walilipiwa nauli za ndege kutoka popte walipo mpaka ufaransa, mwana muziki Kyle Mingue alikodiwa kwa siku zote sita na alitumbuiza kwa kila tukio, pia mnara wa eiffel (eiffel tower) ulikodiwa kutoka kwa serikali ya jiji ka Paris kwa ajili ya upigaji wa mafataki, wataalam wana sema gharama zina weza kuwa zili zidi sana tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom