Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Thenki yuSina la ziada kwa hisani ya kumuenzi mzee Jumbe
Safi sana
Thenki yuSina la ziada kwa hisani ya kumuenzi mzee Jumbe
Thanks nsha karbiaTuko poa...karibu sana mkuu
Abar za toka janaHello!!!!
HahahaNzuri mkuu, Jana ulipotea gafla
Cool J ananifurahisha anavyobembeleza...Don't make decisions when you mad![]()
, mradi tu Jenny asisepe.
Nyimbo za mwaka gan hzo!!?Huu wimbo naupenda sana
Pamoja sanaThenki yu
Safi sana
2003 kama sikoseiNyimbo za mwaka gan hzo!!?
Hahaha2003 kama sikosei
I missd u my sweet cousinShukrani sana kwa Nukuu ya leo
Hatari sanaKisiki kilichowashinda Wamarekani. CIA walishafanya majaribio zaidi ya 250 kuking'oa kisiki hiki lakini wakashindwa. Mpaka girlfriend wake kabisa akafika na sumu kali akakikuta kimelewa chakari, akaitoa sumu na kuiweka kwenye kikombe akakipa lakini dakika za mwisho girlfriend akajikuta analia tu "I love you Fidel. I can't kill you Fidel" CIA wamekusanyika kwenye hoteli wanasikiliza laivu wakajikuta wanararua makaratasi "Damn, we failed again!" Long live kamanda!
Kumbe upo Joto City.....me Ubungo ni kwa miguu tu kupitia kwenye reli pale Chibuku nanyoosha tu hadi Muleba zen Mabibo BeachHahaha
Hatariii kuna mtu nlenda mpokea ubungo
Then cm ikaisha chaj, then leo nkawa busy kdogo mchana
The huyu apa
Hata mie role model huyoCastro jembe langu!!
Nasubiri hapa Mdogo MdogoTop 10 aka kumi kubwa
Znakuja sasa hvi
Nshangia studio hpa
Sijui Naya kinje itakuwepoLeo tuta cheki harusi kumi zilizo kuwa na gharama kibwa kuliko zoote duniani
Yaaan
Top 10 of the most expensive weddings of all time: