Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Wanaziita ati "ZOO"Mbuga za wanyama zenyewe tayari wanazo
Wanaziita ati "ZOO"Mbuga za wanyama zenyewe tayari wanazo
Mchezo huu hauhitaji hasira, jaribu bahati yako, chukua kitu roho inapenda hata kwa kunyang'anya mutu.Wengine sie wasindikizaji.

Thanks sana kwa sapotLete vituu
Ni kweli kabisa kama wakenya tu wanautumia kinyemela na bado tumetulia ndo sembuse ku-uuza? HahaNa wakija kuuomba huku waununue? watapewa tu mbona kiroho safii
Harusi za Kenya nazo huwa hazijamboHahaha
Siyo bongo
Kisirani naona kimeisha rudisha penzi upya bhanaEe bebi.. Ukiniona sasa kidume utafurahia...

HeheheeHahaha hapo Werrason lazma umkune
HahahaKwa gharama hizo lazma ivunjike baada ya huo muda...wangezileta hizo pesa huku kudonate kwa watoto yatima na kuwajengea makazi watoto wa mitaani tu tujue moja
Ana nesa nesaChuraaaa...
Afu niliskia walidanganya watalii ati huo mlima upo kwao Kenya kabisa...sijui wakoje!!Ni kweli kabisa kama wakenya tu wanautumia kinyemela na bado tumetulia ndo sembuse ku-uuza? Haha
Sisi hatujui kuzitumiaWanaziita ati "ZOO"
Inawezekana aiseeSisi hatujui kuzitumia
Nakupenda sana dadkeNimekuelewa sana kaka Szeny. Asante kwa hiya track aisee
Way too much fun sasa...Hahaha
Walikuwa wana hav fun
Kuna kaukweli hapa!Mchezo huu hauhitaji hasira, jaribu bahati yako, chukua kitu roho inapenda hata kwa kunyang'anya mutu.
Dunia hii wanaifaidi majasiri na wababe![]()
Nakupenda zaidi kaka ake mimi.Nakupenda sana dadke
Shem usipotee sana mpendwaPamoja sana mkuu
HahahaShame on them!!! migharama mikubwaaa ndoa hazidumu
Ohooo hiyo ni siri ya ndani dadanguKaka hiyo "s"sijaielelwa hapo