Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Usisahau Holiday.Happy Birthday Madonna
baadae nikimaliza magazeti ntaweka ngoma zake mbili tatu
Ila huyu nae ni bibi bomba.
Usisahau Holiday.Happy Birthday Madonna
baadae nikimaliza magazeti ntaweka ngoma zake mbili tatu
Leo katika Historia:
1945 - Kunatokea Jaribio la kutaka kumuua Waziri Mkuu wa Japan, Kantari Suzuki lakini Jaribio hilo linashindikana.
Ntaweka 3 ambazo nazikubali zaidiUsisahau Holiday.
Ila huyu nae ni bibi bomba.
Ni kweli kabisaIla kwa sasa yuko wapi?
Hakuna kitakachodumu
Leo katika Historia:
1946 - Kunatokea Maandamano makubwa huko Kolkata India na kusababisha mauaji ya watu 4000 ndani ya saa 72.
Leo katika Historia:
1960 - Cyprus yajipatia Uhuru wake toka kwa Uingereza.
Asante sana kwa magazeti ya leoView attachment 382421View attachment 382422
Na mpaka hapo basi sina la ziada kutoka magazetini....
Shukrani kwa kuwa pamoja nami pia napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru mdhamini wa segment hii ambae ni shululu kwa kuingia top 20
Niite Jimena Jimenes
Nawapenda wote
Leo katika Historia:
1958 - Ni siku ya kuzaliwa kwa Madonna.
Mwimbaji mashuhuri wa muziki toka nchini Marekani.