radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Nakuaminia
Msimu huu ume kata tiket siti yako ile ile!!?
ndio mkuu kama kawaida
Nakuaminia
Msimu huu ume kata tiket siti yako ile ile!!?
Pamoja mie mwenyewe kule kulendio mkuu kama kawaida
Pamoja mie mwenyewe kule kule
Ya awa wa blue leo nme shndwa kuangalia
wanachana mkeka wangu hawa wehu nimewapa gg na 3+ hiyo mech moja tu
WashakuokoaChelsea 1 westham 0
Hazard penalty
Washakuokoa
Washakuokoa
Mnafarijiana sana aiseekama kawaida mkuu szczeny lazima turudi
Hahahabado mkuu wagonga nyundo nao wanatakiwa kutupia.
Waangalie tuPamoja mie mwenyewe kule kule
Ya awa wa blue leo nme shndwa kuangalia
Top 20Top 20
Cc bitoz, ameishaelewaTop 20
Tenaaa!!?