Makapuku Forum

Makapuku Forum

NUKUU NO 2#

CUBA inafuata mfumo wa siasa utakaoifaa na tuko tayari kubaki hata miaka 10 au 20 bila uhusiano na Marekani.
Hali yetu ya baadaye itakuwa nzuri bila Misaada kutoka Marekani.

Haya yalisemwa na aliyewahi kuwa waziri wa Cuba, Dk Fidel Castro, wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 26 ya mapinduzi yaliyouondoa ubeberu wa kimarekani.
Katika kisiwa hicho ambapo alisisitiza Marekani si polisi wa Marekani ya kusini na kuipongeza Peru kuanzisha uhusiano na Cuba licha ya katazo la Marekani

Peru iliungana na Chile, Mexico na Jamaica kuipuuza Marekani kwa kuanzisha uhusiano na Cuba

Castro alizaliwa Agosti 13,1926. Alikuwa waziri wa Cuba mwaka 1959 hadi 1976 na kisha kuwa Rais nchi hiyo hadi 2008
Cuba kwa kina William Levy...
 
NUKUU NO 1#

Sisi tunafahamu kuwa tu taifa dogo sana ukilinganisha na Tanganyika
Hata hivyo,tuna imani kubwa katika umoja.

Tungependelea kuona Kuna umoja Kati ya mataifa mbali mbali ulimwenguni. Ndiyo maana Muungano wa Tanzania unatupa moyo na ni wa maana sana kwetu.

Haya yalisemwa na aliyekuwa makamu wa kwanza wa Rais, Aboud Jumbe, wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari wa kimataifa kwenye makao makuu ya Chama cha afro shiraz mjini Zanzibar,
Agosti 13,1972. Aboud Jumbe Mwinyi alizaliwa Jun 14,1920 na kufariki Agosti 14, 2016. Amezikwa leo hii Agosti 15,2016
Apumzike kwa amani Abdu Jumbe
 
R I P
 
NUKUU NO 2#

CUBA inafuata mfumo wa siasa utakaoifaa na tuko tayari kubaki hata miaka 10 au 20 bila uhusiano na Marekani.
Hali yetu ya baadaye itakuwa nzuri bila Misaada kutoka Marekani.

Haya yalisemwa na aliyewahi kuwa waziri wa Cuba, Dk Fidel Castro, wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 26 ya mapinduzi yaliyouondoa ubeberu wa kimarekani.
Katika kisiwa hicho ambapo alisisitiza Marekani si polisi wa Marekani ya kusini na kuipongeza Peru kuanzisha uhusiano na Cuba licha ya katazo la Marekani

Peru iliungana na Chile, Mexico na Jamaica kuipuuza Marekani kwa kuanzisha uhusiano na Cuba

Castro alizaliwa Agosti 13,1926. Alikuwa waziri wa Cuba mwaka 1959 hadi 1976 na kisha kuwa Rais nchi hiyo hadi 2008
Moja wa ma role models wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom