briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Haja niaga
Ndo nna was was na briz



mi mwenyewe hajaniaga na nimemmis kichizi, hapa sasa itabidi tuungane tu kwenye kumtafuta mana hakuna namnaHaja niaga
Ndo nna was was na briz



mi mwenyewe hajaniaga na nimemmis kichizi, hapa sasa itabidi tuungane tu kwenye kumtafuta mana hakuna namnaAnhaaaJana Briz aliomba nimdansie muziki kaka akawa hataki...basi badae akakubali kidogo tukaenda chemba nikacheza....
HahahahaOngea hapa hapa jukwaani tuone jinsi unavyoona aibu![]()
Ok, kumbe ilikua kupooza kiu tuHapana
Alikuwa reasonalbe
Wakat ana mimba Roo ndo ali mcheat napo alienda kuinunua huduma kwa hiyo siyo kuwa alikuwa ana mpango wa kuchepuka moja kwa moja
Alikuwa ana jisitr akat mke wake hayuko sawa
Poa,unaadimika sana
Kuna sku tulienda kwenye harus moja tuka ambiwa mko wengiHaha
Nyt, na usijiote pekeyako na mi niwemo humo![]()
EeehMpo salama wakuu
Hahahahami mwenyewe hajaniaga na nimemmis kichizi, hapa sasa itabidi tuungane tu kwenye kumtafuta mana hakuna namna
Yap tuko vizuri, kwako vp?Habari humu mko poa
Eeeh
Mkuuu ijumaa tuna rud kwenyw siti zetu zile
Nakuaminiakama kawaida mkuu szczeny lazima turudi
Fresh niko pande flani hivi nachek gameYap tuko vizuri, kwako vp?
Poa poa mkuu, enjoyFresh niko pande flani hivi nachek game