Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Huu sasa ni uchocheziMi sijaelewa.
Yani wavuvi wa kambale nao wawe na siku yao??? Haya yatakuwa masihara sasa
Asante sana na iwe njema kwako piaKwa hisani ya Walcott Sina la ziada, nawatakieni nane nane njema
Mimi huwa navutiwa na uvaaji wake zaidiHuyu jamaa nilikuwa napenda sana jina lake. Olusegun Obasanjo
Ndio maana yakeLeo umetisha sana
Au ndio kinane nane zaidi??
Sawa kabisaAhsante sana, Tukutane 80k
Hakuna shaka wiiMy wii nikijipa mapumziko kila kitu kutafell... Ebu nikazane tuuuuu... Jumamos na jumapil zinantosha..![]()
![]()
Kapuku forum never dieHapo sawa.
Lakini sio mbayaUmechelewa kidogo.
Basi sawa.Lakini sio mbaya
Mussolini,Sweetipie & PNCTutajie majina ya waasisi hao watatu
Basi bora kuwa dalaliShida ni kuwa unapambana shambani huko, afu ukienda sokoni bei anapanga dalali.
Dalali ananufaika zaidi kuliko Mkulima

Si nimesema KILLERZER ARMYWanajeshi huvaa kofia nyekundu kuashiria hatari...sasa hao Jeshi uchwara wanavaa za njano...nahisi ni Mgambo.
Pancha nyingi sana.

Nenda zako hukoMi sijaelewa.
Yani wavuvi wa kambale nao wawe na siku yao??? Haya yatakuwa masihara sasa
Peace and loveTutajie majina ya waasisi hao watatu
May be they are no longer kapukuz!

Asante dadaView attachment 377740View attachment 377741
Kufikia hapo basi naomba nimpishe Mussolin5 aje aendelee kulisongesha jahazi hili.
Kumbuka tu magazeti haya yameletwa kwenu kwa hisani ya Ibracadabra. Niite Jimena Jimenes
Adios