amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Morning myKaribu.
Morning my wii
Nyc day
Morning myKaribu.
Morning my wii
kwa kina TakumaAngekuwa arsenal angecheza game 1 tu!!!
Sasa neno "kichina" namaainisha fekiNi bilionea wa Kijapan mkuu
Karibu sana JJShukrani sana
Sasa inabidi mapumziko ujipe mwenyeweHapana aiseee
Kazi zangu hazina mapumziko
Hahaha mzinguaji sana yule jamaaAfadhali kasepa
Magumashi km sura yake
![]()
![]()
![]()
...........
Alaaa kumbeKipara dalili ya upungufu wa akili
![]()
![]()
![]()
..........
Hongera sanaaHahaha mzinguaji sana yule jamaa
Pancha nyingi sana.
Kumbe nimerudi wakati muafakaKaribu sana JJ
Ahsante sana, Tukutane 80kHongera sanaa
Asante. Na kwako piaMorning my
Nyc day
My wii nikijipa mapumziko kila kitu kutafell... Ebu nikazane tuuuuu... Jumamos na jumapil zinantosha..Sasa inabidi mapumziko ujipe mwenyewe

Umechelewa kidogo.Kumbe nimerudi wakati muafaka
Huyo Derek ni wa nchi gani?NUKUU NO 2#
Serikali iliyoingia madarakani baada ya uchaguzi wa April, 1994, ilikuwa ukihitaji kujiendesha kwa bajeti,
Ni bajeti ilivyokuwa imeandaliwa na waziri wa fedha, Derek Keys
Vikapuku uchwara
Huyu jamaa nilikuwa napenda sana jina lake. Olusegun ObasanjoNUKUU NO 1#
Sehemu kubwa ya watu wanao toa rushwa barani Africa si waafrica, Bali ni watu kutoka nje.
Haya yalisemwa na aliyekuwa Rais wa Nigeria, Olusegun Obasanjo.
Obasanjo alizaliwa Mach 5,1938.
Ni jenerali wa jeshi la Nigeria aliyeiongoza nchi hiyo kwa wadhifa wa Rais, kuanzia mwaka 1999 hadi 2007.
Kabla ya hapo Obasanjo pia aliwahi kuongoza nchi yake kwa mkono wa chuma (utawala wa kijeshi) kuanzia Feb 13,1976 hadi Oct 1,1979. Na kisha kuchaguliwa kwa njia ya kidemokrasia