Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Usinitafutie kesi sasa, sikawii kuanzisha operesheni ukutaHuu sasa ni uchochezi
Usinitafutie kesi sasa, sikawii kuanzisha operesheni ukutaHuu sasa ni uchochezi
Uvaaji nao ulikuwa wa aina yakeMimi huwa navutiwa na uvaaji wake zaidi
Sasa nisiulize jamani??Nenda zako huko
![]()
![]()
![]()
.........
KaribuAsante dada
haina shida mkuu, tatizo kuna watu wamejimilikisha huu uziHoliday iko njema mkuu, basi hata salamu usisahau mkuu
Niko poa sana, tunaadhimisha siku ya Mkulima hapa.![]()
![]()
![]()
![]()
Uko poa mkuu!
okay..T are no longer kapukuz!![]()
Hongereni sana.Mvuvi wa kambale
Ze jina
Na
JJ
Naunga mkono hoja.Si nimesema KILLERZER ARMY
..............
Yap.Basi bora kuwa dalali![]()
![]()
![]()
Unaleta uchochezi, fika ofisi ya upelelezi bila kukosa kwa mahojiano ya kina zaidi.Mussolini,Sweetipie & PNC
![]()
![]()
![]()
..........
Hapa haki sawaHongereni sana.
Amen.Hapa haki sawa
Asante kwetu sote
Sasa kuanzia leo mkitaka kuuza kitu, mnioneYap.
Sawa, ofisi zako ziko wapi?Sasa kuanzia leo mkitaka kuuza kitu, mnione
OnlineSawa, ofisi zako ziko wapi?

harufu ya utapeliOnline![]()
Kama sizzya nae sijui kapotelea wapi!!!Wako wapi waasisi hawa?
NUKUU NO 2#
Serikali iliyoingia madarakani baada ya uchaguzi wa April 1994 ilikuwa ukihitaji kujiendesha kwa bajeti.
Ni bajeti ilivyokuwa imeandaliwa na waziri wa fedha, Derek Keys, na alifanikiwa kushawishi serikali hiyo kuendeleza misingi ya Sera ya soko huria ambayo imekuwa ikitumika miongo kwa miongo nchini Africa ya Kusini.
Maneno haya yalisemwa na Fredrick de klerk. Frederick Willem de klerk alizaliwa Machi 18,1936,
Ni mwanasiasa wa Africa kusini aliyekuwa Rais wa taifa hilo kuanzia September,1989 hadi Mei 1994.
Ni Rais wa saba wa na wa mwisho wa Africa kusini chini ya ubaguzi wa rangi