briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Bora umwambie wewe mana mi hanielewi kabisaAmemmiss tu
Bora umwambie wewe mana mi hanielewi kabisaAmemmiss tu
HahahahaNenda kanisani
Ukawaulize
![]()
![]()
![]()
...........
Na bado wanadundaWatu wamekesha wiki 6 bila kulala
Hata Rambo hawezi kuvumilia usingia.....binadamu ana ukomoJamani bitoz nime muelewa hamaanish usingizi ule wenda kitandan kabsa kulala
Ila hata uko jeshin watu husinzia lakin ki aina na siyo wana kaa wiki sta hata lepe ya usingizi awaja pata
Basi elewa hivyo, Usiku tulikesha kwa kuimba asubuhi ni kazi tu. Utasinzia walau kwa dk 5 ila ukishtukiwa ni msala.Bila kusinzia?......usingizi hauvumiliki ht kwa baunsa
![]()
![]()
![]()
..............
Usingizi unakondesha sanaNi wiki 6 mzee...baada ya hapo watu hubaki vichwa na masikio tu.
Inawezekana anampango wa kukutumia mwalimu wa kisukumaMkuu umekuja kwa speed mno
Kisukuma sikijui bahati mbaya
Sasa hujalala?Basi elewa hivyo, Usiku tulikesha kwa kuimba asubuhi ni kazi tu. Utasinzia walau kwa dk 5 ila ukishtukiwa ni msala.
Briz amesema eti uko na jirani!Heheheheee
Nlisahahu leo
Waulize mkuu, au nenda hapo mabibo jeshini waulize pia.Ngoja nina ndugu zangu wajeda nitawauliza
...............
Duuh...bitoz huwezi wewe!! labda siku 7 hizo ulikuwa unavua kambaleHata mimi nimewahi siku 7
![]()
![]()
![]()
...........
Sema huwezi vumilia sio kwamba hauvumilikiBila kusinzia?......usingizi hauvumiliki ht kwa baunsa
![]()
![]()
![]()
..............
HaaaaAmemmiss tu
Mi siwataki hao mkuu, hivi hakuna second version ya Jimena tugawane??Wana nchokoza ao
Eb muunganishe briz na atoto au miss chaga hapo
Basi mwambie nami pia nimem missAmemmiss tu
Mrejesho muhimuNgoja nina ndugu zangu wajeda nitawauliza
...............
Kuna skendo nyingi makanisani ....huzimwa kimyakimya kutunza HESHIMA YA KANISAHahahaha
Bas umidanganya wewee