Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Hahahaha kitu ambacho hakikuwa fair.....Wakamuua na Saddam ambaye ni Rais wa Kuwait.
Swala la Kuwait huwa linanichekesha sana, maana ile sio kukosea ni kutokujua
Hahahaha kitu ambacho hakikuwa fair.....Wakamuua na Saddam ambaye ni Rais wa Kuwait.
poa poa!!Tutakuja tu mkuu usiwaze
kabisa...Hahahaha kitu ambacho hakikuwa fair.....
Swala la Kuwait huwa linanichekesha sana, maana ile sio kukosea ni kutokujua
Tupo PouwaWaungwana mpo poa humu?
Mi pia Bush mtoto namkubali sanaBush mtoto ndo shda
Akisaidiwa na cheney
Sasa mkuu mkate buku naHaya bhana.. Bingwa weye, sisi tusio na akiba ya mkate haina jinsi.
KweiMwenye haki ataishi kwa IMANI
Sio kitu kibaya, bongo tu ndo kuna mijadala kama hiiSuper.. Umeongea kiufundi
Michael ballack fundi mmoja wa kijeruman, aliwahi kusema msos anaoupenda zaid ni mchanganyiko wa chipsi,njegere sjui na mazagazaga gani, kitu pekee ninachokupunga aliorodhesha chips kwenye mchanganyiko wake, alinivuruga maana najua chipsi si kitu kizur
Njoo chukua, njoo na sandarusi niko Mbujimayi nakusubiriMyagawe ili muishi kwa amani

Na hao woteeDick Cheney nae alikuwa moto wa kuotea mbali.
Halafu hapo umemsahau Donald Rumsfeld, Waziri wa Ulinzi nae alikuwa ana roho mbaya.
Bush alikuwa na timu ya makatili, ila Bush Mkubwa alikiwa katili yeye kama yeye!!
Vita vya Ghuba ni moja ya sababu iliyomfanya awe Rais wa kipindi kimoja, kwani aliyofaitiana na wengi.
Mi likija swala la Bush namkubali Bush mtotoDick Cheney nae alikuwa moto wa kuotea mbali.
Halafu hapo umemsahau Donald Rumsfeld, Waziri wa Ulinzi nae alikuwa ana roho mbaya.
Bush alikuwa na timu ya makatili, ila Bush Mkubwa alikiwa katili yeye kama yeye!!
Vita vya Ghuba ni moja ya sababu iliyomfanya awe Rais wa kipindi kimoja, kwani aliyofaitiana na wengi.
Hataki secondsecond???Mayonaiz, weka tomato nying
Halafu isikauke sanaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jangaaaa
Hahahaha wawe wanatuamkia basiHahaha...kumbe nina wadogo zangu wengi humu!!
Njooni basi huku Mbweni chuoni siku mnisalimie...
Nakula wali na ugali sana sanaaWakwetu weye ni mpigaji wa nini?
Nakula wali na ugali sana sanaaWakwetu weye ni mpigaji wa nini?
PoaNjoo chemba
...
..
Acha kumpoteza mwenzioAle tu, maisha yenyewe yako wapi kujitesa hivyo?