Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,268
Minazi ndio nani?View attachment 374775View attachment 374776View attachment 374777
Ana undugu na minazi?
............
Minazi ndio nani?View attachment 374775View attachment 374776View attachment 374777
Ana undugu na minazi?
............
Mpuuz tuBush mtoto ndio kamanda
Mie mwenzio nakuwaga hata na mkate ndaniHiv mkuu njaa ya saa 7 ya usiku imekushika utaacha kugonga kiepe, mie si mpenz wa huu msosi, ila sikatai huwa nakula japo kishingo upande.. Kutokana na mazingira.
Bush mtoto ndo shdaPengine hujawahi kumjua Bush Mkubwa vizuri, japo alikuwa Rais wa Kipindi kimoja ila ni miongoni mwa Marais mafia kuwahi kuongoza Marekani pia alishakuwa Mkuu wa Shirika la Kijasusi la Marekani ( C.I.A. )

Nishapoa mkuu asante!!Pole mkuu
Super.. Umeongea kiufundiKila chakula kina faida zake na hasara zake. Chips zina calories nyingi ila kama utakula kisha ukafanya mazoezi kidogo kuburn zile calories zilizozidi it's okay.
Ili kuwa na afya bora unahitaji kula aina zote za vyakula
Robot anapiga push-upView attachment 374781View attachment 374782View attachment 374783
Size yetu Malawi
..................

Pale kati patam....Fela Anikulapo Kuti ni ngoma ilimuua!!!....Dah!!! Miaka kumi na tisa!!!
Hahaha kawaida!! ina maana wewe ni mdogo sana au ndio umemamliza form six juzi?Mkuu una ka umri
Hayakuhusu we bushstarMayonaiz, weka tomato nying
Halafu isikauke sanaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jangaaaa
NigeriaHii ni mbagala ya wapi, nigeria au!!?
Kala chumv ya kutosha, kontena 3 kafikisha huyu mtu, heshima kwake mzee Mussolini5Mkuu una ka umri
Ndo maana tunatambia Vita Ya KageraHao ni wa kimataifa!!
Hapo unaruhusiwa coz hiyo ndoa ni ya kisirikali unaruhusiwa kutoa talaka.Official kevin gameiro ametua Atletico madrid.. Hii atletico tuiangalie kwa jicho la tatu, watakuwa hatar sana msimu huu..
Soon ntatangaza ndoa na mchepuko wangu atletico madrid, maana mama watoto arsenal toka nifunge nae ndoa 98/99 mpaka leo hii furaha chache vidonda vingi
Ila mchepuko wangu toka nimpende yeye maumiv machache kwa kweli..
Soon mke wa pili atahusika.
Nilihisi siyo yy ndo maana nikauliza kwanzaHapana Mkuu, sio huyu labda majina tu yamefanana.
Hapo kuongeza tatizo..Mayonaiz, weka tomato nying
Halafu isikauke sanaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jangaaaa
Dick Cheney nae alikuwa moto wa kuotea mbali.Bush mtoto ndo shda
Akisaidiwa na cheney