Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Ndoa wala hauhusiani na chips hebu acheni kukariri jamaniSasa mkuu mkate buku na
Chips buku mbili , si una nunua una uweka kawaida tuu
Epuka chips kwa afya yako
Na ndoa yako
Ndoa wala hauhusiani na chips hebu acheni kukariri jamaniSasa mkuu mkate buku na
Chips buku mbili , si una nunua una uweka kawaida tuu
Epuka chips kwa afya yako
Na ndoa yako
AaahNdoa wala hauhusiani na chips hebu acheni kukariri jamani

....kwa nchemba???Njoo chemba
...
..
We ni mkufunzi hapo Mbaba???Hahaha...kumbe nina wadogo zangu wengi humu!!
Njooni basi huku Mbweni chuoni siku mnisalimie...
Akwende kuleMi nampendaga![]()
![]()
![]()

sawa.Mi likija swala la Bush namkubali Bush mtoto
Umeona eeh!! Watu tumekula chumvi bhana!!Hahahaha wawe wanatuamkia basi
Unapenda bad boyz eeh?Mi pia Bush mtoto namkubali sana
Sasa wanga namna hiyo mwilini wa nini?Nakula wali na ugali sana sanaa
Nyama situmii kwa wingi pia
Nashangaa unapendaga wababe kama niwapendavyo...bush, trumph naye ni aina ya wababeMi likija swala la Bush namkubali Bush mtoto
We! Wauza chipusi watakushukia now now!Sasa mkuu mkate buku na
Chips buku mbili , si una nunua una uweka kawaida tuu
Epuka chips kwa afya yako
Na ndoa yako
ThafiiNakula wali na ugali sana sanaa
Nyama situmii kwa wingi pia
Nadhani hivyoUnapenda bad boyz eeh?
Yeye hahitaji erection ku-perform ila anamdanganya anaepaswa ku-erect!!!Acha kumpoteza mwenzio