manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Adimu sana kama kushinda pesa ya Magu...Baba
Adimu sana kama kushinda pesa ya Magu...Baba
Happybirthday ChadliLeo katika Historia:
1989 - Nacer Chadli anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa Miguu toka Ubelgiji na klabu ya Tottenham.
Msako wa pesa mkuuAdimu sana kama kushinda pesa ya Magu...
Kila chakula kina faida zake na hasara zake. Chips zina calories nyingi ila kama utakula kisha ukafanya mazoezi kidogo kuburn zile calories zilizozidi it's okay.Hahahaha
Hapana kwa kweli chpsi kwa mwanaume si kitu chema
Kimbiza sana mkuu maana mbele panaogopesha kila siku mirija inazidi kubanwa...Msako wa pesa mkuu
My sissyKila chakula kina faida zake na hasara zake. Chips zina calories nyingi ila kama utakula kisha ukafanya mazoezi kidogo kuburn zile calories zilizozidi it's okay.
Ili kuwa na afya bora unahitaji kula aina zote za vyakula
Mwenye haki ataishi kwa IMANIKimbiza sana mkuu maana mbele panaogopesha kila siku mirija inazidi kubanwa...
Madini ndio yanatuletea shida ndugu yanguKunani tena pale congo??
Cc mutu ya kongo, werrason
Hakika..Mwenye haki ataishi kwa IMANI
....Fela Anikulapo Kuti ni ngoma ilimuua!!!....Dah!!! Miaka kumi na tisa!!!Leo katika Historia:
1997 - Fela Kuti anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwanamuziki mahiri toka nchini Nigeria.
Alipenda sana totoz katika ubora wake.
Poa kabisa, habari ya wewe?Waungwana mpo poa humu?
Pole mkuuLeo katika Historia:
2006 - Martin Mbawala anafariki Dunia.
Alikuwa ni classmate wangu, vidonda vya tumbo vilimuondoa Duniani.
Leo tunaadhimisha miaka 10 toka ututoke, daima tutakukumbuka, pumzika kwa amani Kaka.
Happybirthday PostLeo katika Historia:
1982 - Helder Postiga anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Ureno.
Niajez!!My sissy
Poa sana dada...bila shaka na wewe u bukheri wa afya?Poa kabjsa, habari ya wewe?
Pouwa dadake, mambo vipNiajez!!
Kila chakula kina faida zake na hasara zake. Chips zina calories nyingi ila kama utakula kisha ukafanya mazoezi kidogo kuburn zile calories zilizozidi it's okay.
Ili kuwa na afya bora unahitaji kula aina zote za vyakula
PoaPouwa dadake, mambo vip
Myagawe ili muishi kwa amaniMadini ndio yanatuletea shida ndugu yangu