Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,228
- 39,956
That's rightAaah
Kwa wewe nakuruhusu useme hivo![]()
That's rightAaah
Kwa wewe nakuruhusu useme hivo![]()
Mnadanganywa ili wengine wale chips nyieSasa mkuu mkate buku na
Chips buku mbili , si una nunua una uweka kawaida tuu
Epuka chips kwa afya yako
Na ndoa yako
Kuongeza nguvuSasa wanga namna hiyo mwilini wa nini?
Samaki wapo?Hahaha...kumbe nina wadogo zangu wengi humu!!
Njooni basi huku Mbweni chuoni siku mnisalimie...
Sasa wanga namna hiyo mwilini wa nini?
heeee!!
Mkuu umenielewa vibaya.
thatha wat did yu min wen yu seid chuoni???![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Usjali utajua tuu sku moja
Lakin pia nakula mboga mboga matunda na maji
Inatosha sana

HahahahaMbona Shezn thio mbabe???....![]()
![]()
![]()
![]()
....taste ndio inatupoteza!!!....kuna post moja iko jukwaa la picha mtu kapost picha ya ugali wa mtama na nyama ya kuku chukuchuku niliisoma nilicheka sana!!!We nakuamina mbona
Ni rais wa nchi gani?Mbona Shezn thio mbabe???....![]()
![]()
![]()
![]()
Kweli nakwambia, achaneni na wajanja waliodanganya wanawake kuwa wakila mayai watazaa watoto wasio na nywele.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Uwiiiii
Hapo nimekusoma sasaDaddy Bush hakupata muda na visingizio tuu vya kuvamia
Ila wale wakorofi wotee walo kuwa na kid Bush walifanya kazi na Daddy Bush ndo aka mwambia dogo piga kaz na hao
Atanenepeana tu bila mpango, wanga ukizidi mwilini sio diliKuongeza nguvu
Labda makazi yake yamepakana na chuothatha wat did yu min wen yu seid chuoni???
Una kazi yake, hebu mufanyie visit.Atanenepeana tu bila mpango, wanga ukizidi mwilini sio dili