Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,513
- 40,619
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji445] [emoji443]Mwili wote ule unakula kiepe
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji445] [emoji443]Mwili wote ule unakula kiepe
Haya bhana.. Bingwa weye, sisi tusio na akiba ya mkate haina jinsi.Mie mwenzio nakuwaga hata na mkate ndani
Nakunywa chai na mkate asubuhi chai nzito inahusu
Epuka chips kwa namna yyte ile
hahahah....Kuti si linapatikana minazini
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.............
Wakwetu weye ni mpigaji wa nini?Hahaha
Una i defend chips kwel kwel
Anahua hadi kupakua ubwabwaRobot anapiga push-up [emoji23]
Nami naonaKala chumv ya kutosha, kontena 3 kafikisha huyu mtu, heshima kwake mzee Mussolini5
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Acha umbea ww...tofautisha mwili jumba na kitambi
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
............
Kumuacha siwez, ila namuongezea mke wa pili, apate kujifunza.Hapo unaruhusiwa coz hiyo ndoa ni ya kisirikali unaruhusiwa kutoa talaka.
Hahaha...kumbe nina wadogo zangu wengi humu!!Kala chumv ya kutosha, kontena 3 kafikisha huyu mtu, heshima kwake mzee Mussolini5
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mbona umepanic ndugu. [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
ok, pamoja.Nilihisi siyo yy ndo maana nikauliza kwanza
.........
Ojuelegba nin!!?Nigeria
..........
PoaWacha nkasome gazeti
Mbagala moko[emoji125] [emoji125] [emoji125]View attachment 374846.........
Tutakuja tu mkuu usiwazeHahaha...kumbe nina wadogo zangu wengi humu!!
Njooni basi huku Mbweni chuoni siku mnisalimie...
Ale tu, maisha yenyewe yako wapi kujitesa hivyo?Kwa wewe kula chipsi ni sawa
Ila bitoz hapana kwa kweli
Aache hyo tabia
Ni kweli maana ametawala zamaniPengine hujawahi kumjua Bush Mkubwa vizuri, japo alikuwa Rais wa Kipindi kimoja ila ni miongoni mwa Marais mafia kuwahi kuongoza Marekani pia alishakuwa Mkuu wa Shirika la Kijasusi la Marekani ( C.I.A. )
[emoji120] [emoji120] [emoji120]ok, pamoja.
Karibu[emoji4]Asante kwa magazeti