Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia:

1992 - Pablo Escobar anafanikiwa kutoroka gerezani huko Medellin nchini Colombia.

Ni mmoja kati ya wafanyabiashara hatari na tajiri wa Madawa ya Kulevya kuwahi kutokea katika uso wa Dunia.

Alikuwa na utajiri wa kutosha lakini hakuwahi kutambuliwa kwenye orodha ya matajiri wa dunia kwa kuwa vyanzo vya mapato yake ni biashara haramu.
Huyu ameua watu wengi sana kwa unga wake!
 
Kikofia ndio nani?
1469182998328.jpg

Mwenye avatar hii
.......
 
Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika

1. UGALI NA KUNDE
Mwitaji : Joniiiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Uje ukule

2. UGALI NA SAMAKI
Mwitaji: we Joniiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Unaitwa na Mama

3. WALI NA NYAMA/KUKU
Mwitaji: Joniiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Shauri yako

.........
 
MWANAMKE WAMAREKANI UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE UNA KANSA,

MWANAMKE WA URUSI UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE UNA MALARIA

NA MWANAMKE WA CHINA UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE, UNA MAFUA

*_MWANAMKE WA TANZANIA UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE SINA HELA_*
.............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom