Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,243
mnyama mnyamaniMorning family
Magazeti ya leo yanaletwa kwenu kwa udhamini wa Wakimataifa View attachment 369000View attachment 369002
mnyama mnyamaniMorning family
Magazeti ya leo yanaletwa kwenu kwa udhamini wa Wakimataifa View attachment 369000View attachment 369002
Bonjour mon ami.Bonjour monsiuer
Morning Mr.Morning papaa
Nenda hospitali km vipi ingia JF DoctorNaomben kuuliza mm na mke wng tukifany tendo la ndoa 1.. Hafiki kwa wakati na 2...hua damu zina mtoka ila hii ya damu ndo kubwa na 3... Akishika mimba zinatoka.... Naomben ushauli wenu nifanye nn kuhusu haya......
Waambie!!!Wanaenda kufungwa
Ahsante kwa magazeti.Nakuja sasa na Leokatika Historia.View attachment 369034View attachment 369035
Mpaka hapo basi sina la ziada asubuhi ya leo, naondoka hapa na kumpisha Mussolin5 atupe alichotuandalia ijumaa hii ya leo
Muwe na week end njema
Ciao
Mkuu, mimi nakushauri mngemwona daktari wa magonjwa ya wanawake.Naomben kuuliza mm na mke wng tukifany tendo la ndoa 1.. Hafiki kwa wakati na 2...hua damu zina mtoka ila hii ya damu ndo kubwa na 3... Akishika mimba zinatoka.... Naomben ushauli wenu nifanye nn kuhusu haya......
KaribuAhsante kwa magazeti.Nakuja sasa na Leokatika Historia.
Hii ndio nilikuwa nasubiri kwa hamu sanaLeo katika Historia:
1934 - John Dillinger anauwawa.
Ni Jambazi maarufu aliyetikisa katika wizi wa kuvamia Benki huko Marekani. Pia alikuwa ni mahiri kwenye kutoroka jela.
Anachukuliwa kama mmoja kati ya wahalifu waliowahi kusumbua vyombo vya dola nchini Marekani.
Leo katika Historia:

1961 - Keith Sweat anazaliwa.
Ni mwimbaji hodari wa muziki wa R n' B kutoka nchini Marekani.