Makapuku Forum

Makapuku Forum

1469184332035.jpg
 
Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika

1. UGALI NA KUNDE
Mwitaji : Joniiiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Uje ukule

2. UGALI NA SAMAKI
Mwitaji: we Joniiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Unaitwa na Mama

3. WALI NA NYAMA/KUKU
Mwitaji: Joniiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Shauri yako

.........
Au upo mtaani unacheza kombolera, anakuja mtu kutoka nyumbani anakuambia Ole wako nikukute mikono yako michafu, kumbe unatakiwa kwenda kula
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom