makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,860
- 104,024
좋은 아침 kapukuz

Ni kweli haya ni mapicha picha zingine zinahitaji tahadhari kabla mtu hajaziangalia...Kwema lakin mkuu?Asante kwa mapicha picha!!
Mkuu Prezda picha hizi weka tahadhari zinafanya mtu kusisimuka...
KaribuHabari zenu Kapuku wenzangu?
hivi punde nitashusha episode 10 za ile riwaya yetu pendwa ya ANTI EZEKIEL kama kufidia cku nilipokuwa sipo active hapa jukwaani
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Shukrani mukuluKaribu
Ha ha ha ha ha mzigo ulikuwa bado wamotooooDah!!! Jimena umeamkia kwenye gari ya magazeti nini??? ....umetisha!!!
Ni shiiiiidamnyama mnyamani
PleasureAhsante kwa magazeti.Nakuja sasa na Leokatika Historia.
Nilishtuka..... Nikadhani John Dillinger MatlowLeo katika Historia:
1934 - John Dillinger anauwawa.
Ni Jambazi maarufu aliyetikisa katika wizi wa kuvamia Benki huko Marekani. Pia alikuwa ni mahiri kwenye kutoroka jela.
Anachukuliwa kama mmoja kati ya wahalifu waliowahi kusumbua vyombo vya dola nchini Marekani.
Kumbe ni mzee hivi??Leo katika Historia:
1961 - Keith Sweat anazaliwa.
Ni mwimbaji hodari wa muziki wa R n' B kutoka nchini Marekani.
Namkubali sana huyu mlatino, hasimu wa GriseldaLeo katika Historia:
1992 - Pablo Escobar anafanikiwa kutoroka gerezani huko Medellin nchini Colombia.
Ni mmoja kati ya wafanyabiashara hatari na tajiri wa Madawa ya Kulevya kuwahi kutokea katika uso wa Dunia.
Alikuwa na utajiri wa kutosha lakini hakuwahi kutambuliwa kwenye orodha ya matajiri wa dunia kwa kuwa vyanzo vya mapato yake ni biashara haramu.
Zawadi kama hii ilifaa PM kisha hapa uje mrejeshoHongera chukua zawadi 40288147766009
MorningGood morng kapukuz, wengine wataona tumewatenga..![]()
![]()
![]()