Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,931
Huyu nae alikuwa jiniaz.Leo katika Historia:
1934 - John Dillinger anauwawa.
Ni Jambazi maarufu aliyetikisa katika wizi wa kuvamia Benki huko Marekani. Pia alikuwa ni mahiri kwenye kutoroka jela.
Anachukuliwa kama mmoja kati ya wahalifu waliowahi kusumbua vyombo vya dola nchini Marekani.

