Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika

1. UGALI NA KUNDE
Mwitaji : Joniiiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Uje ukule

2. UGALI NA SAMAKI
Mwitaji: we Joniiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Unaitwa na Mama

3. WALI NA NYAMA/KUKU
Mwitaji: Joniiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Shauri yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] umenikumbusha mbali sana mkuu
 
[emoji41] weka picha
1469187569277.jpg

Za Escobar hazifai kuweka picha haifai unaweza tamani kuwa mzungu wa dona bure
Hivyo hii itafaa
 
Back
Top Bottom