Jahlex
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 512
- 604
HAPO UMENENAMasaki hamna singeli
Masaki hupati ile mishkaki ya sh 50/=
Masaki hamna kukopa kwa mangi
Masaki huwezi kumuazima jirani yako chumvi
So masaki na kwenyewe kunazingua tu kidizaini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]