Makapuku Forum

Makapuku Forum

Haya nmeshatoboa top 20 most likes kama wengi mlivyokuwa mnataka.
12f61d9dfe14ade359c30b90666b7501.jpg
nipigieni makofi tafadhali.. maana kufika hapa inahitaji moyo sanaaa
6f10e3b2c2c3d3477e801fdeb4319efd.gif
wera weraaaaaaaAAaaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji23] [emoji41]
Hongera sana kikofia
 
Hakikisha box, Chumvi na ngedere wanakaa hapo utakuwa umenifurahisha zaidi
Ila mpaka ulipofikia unastahili PONGEZI

Nakumbuka enzi ileeee wakati unapigania digit ziwe 3[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Na mchawi jr. Lazma tumbwage..
Yani tumetoka mbali sanaaaa
Yani nikitazama nyuma sioni nilipoianzia hii safari
[emoji22] [emoji22] [emoji22]
 
Back
Top Bottom