Nipo JonaxShululu naona unakuja kunipokea kijiti
Majanga sana zile camera huwa zinafanya mpira wa kibongo uonekane uko slow kama slow motionHizi camera zetu hizi majanga matupu




Karibu kiongoz, habar ya wewe?Nipo Jonax
haha.. huyo dadako hafai kabisa lolHuyu atakufa zaidi![]()
Nzuri, weekend yako iko vp hukoKaribu kiongoz, habar ya wewe?
Unatumia tecno boom j8 nin mana naskia ipo vizuri sana kwenye cameraHuo mwanga wa Tv TU
Camera yangu ipo swaaf kwani picha huonagi swaaf cku zote
![]()
![]()
![]()
![]()
...........

Hili nalo neno... Wabongo tuna maneno mengiiii ya kujitutumuaBado hatuna viwango vya kimataifa tz, bali zakutembelea mataifa, ufike wakati tuone aibu kujigamba
Iko poa kabisa.. karibu naona ndo uneingia huku jion hiiNzuri, weekend yako iko vp huko
Hamieni masakiLeo umeme ulikatika Mabibo Beach kuanzia alfajiri hadi saa 11;30 jioni hivyo simu ilizimika kwa kukosa chaji asubuhi ndo 7bu
......................................
Piga shule jamaa, huo ndo mpangoteam makapuku mpo..dah mi nipo wadau wangu sema kipindi kifupi kijacho sitoonekana kidogo...majukumu kidogo ya kielimu yananiandama..msijali lakini tupo pamoja
_HATA UWE KAUZU VIPI!!!_
Huwezi KUJAMBA ukiwa UNATONGOZA![]()
![]()
![]()






lakin usisahau vijambo vingine havina mlio PapaaNiambie mkuu, leo umelichangamsha sana jukwaa lilikua limedoda kimtindoBriz nakuona ukija kwa speed ya Jet B-52
Hivi masaki huwa haukatiki eeh?Hamieni masaki
Nilikuwepo tangu saa 9Iko poa kabisa.. karibu naona ndo uneingia huku jion hii
Huko nako majanga hayakosiHamieni masaki