shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Ili wasi singizie kuwa Conte hakuwepo, kumbe wamefungwa akiwepo bench![]()
Kwani yy beki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...............
Ili wasi singizie kuwa Conte hakuwepo, kumbe wamefungwa akiwepo bench![]()
Kwani yy beki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...............
Kufungwa kufungwe tu kunaumaIli wasi singizie kuwa Conte hakuwepo, kumbe wamefungwa akiwepo bench
ILIKUWA MIDA GANI HIYO?Jf ilipotea hewani mkuu
TEHTEHTEH![]()
The Blauz
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..................
Hongera sana bitoz, nimependa hapo kwenye kishikwambi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]FIX ZA BITOZ:
Kibeche=Wali
Nazi=Mjinga
Kipukuchu=Pesa
Kishikwambi=Demu mapepe
Kudwi= Demu mchafu
Uchebe=Ndevu
Tekeche=Poa/Shega
Usikose fix za Bitoz Nyangema kila siku hapa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
..................
HAHAHAHAH KUNA WATU HAMNAZO HATARI!Hahahaaaaaa!
Acha wafu wazikaneeeeee
Figa namba moja[emoji85]Naona huyu atakufaa zaidi![]()
Kishkwambi changu kinaboaHongera sana bitoz, nimependa hapo kwenye kishikwambi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapo sasa hamieni kenyaHuko nako majanga hayakosi
CHEZEA MORINHO...!!Zaltan amepewa namba ngapi
Tutahamia Somalia [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hapo sasa hamieni kenya
DUUH PAMPULAFiga namba moja[emoji85]
Hii kiboko kabisaJE WAJUA?
Bazilio Olara Okello wa Uganda,ndiye Rais aliyetawala kwa kifupi zaidi Duniani, aliingia madarakani tar 27---29 July 1985, hivyo alitawala siku 2 tu.View attachment 366777View attachment 366778View attachment 366779View attachment 366780
Yangu macho[emoji102]HAHAHAHAH KUNA WATU HAMNAZO HATARI!
Mkavianzishe tuKuna vigodoro?
Kwetu ni kwetu![]()
.........
Au Sudan kusini[emoji3]Tutahamia Somalia [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]