briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Na kwako piaUsiku mwema makapuku wenzangu
Na kwako piaUsiku mwema makapuku wenzangu
Asante nawe piaUsiku mwema makapuku wenzangu
Ni kweli kabisa, mambo pole pole tuNa muda siyo mrefu na sisi tutafika pale kwenye most post ili tu-takin over all forum
Nawe pia kapuku mwenzetuUsiku mwema makapuku wenzangu
Leo unalala mapema sanaaaFamilia kesho nayo ni siku ngoja nipumzike kidogo, muwe na usiku mwema
Mi naenda kumalizia kule kwa dany kumbe siku hizi yuko nigeriaNawe pia kapuku mwenzetu
Kwani mzigo tayari uneshashushwa...Mi naenda kumalizia kule kwa dany kumbe siku hizi yuko nigeria
Kesho nawah sana kuamkaLeo unalala mapema sanaaa
Usiku mwema
Mambo ni mdogo mdogo tu coz hata tulivyoanza hatukujua km tutafika hapaNi kweli kabisa, mambo pole pole tu
Hapana hii niliyosoma ni ya zamani, kumbuka nilikuwa sijaisoma takribani mwezi sasaKwani mzigo tayari uneshashushwa...
Ili nije kwa speed