Dah! Basi nkapata wacwasc kwel nkijua tayar nneshafunguwa Id zangu zote mbiliJf ilipotea hewani mkuu
Poleee, walipaswa kutujulisha mapemaDah! Basi nkapata wacwasc kwel nkijua tayar nneshafunguwa Id zangu zote mbili
Ahsante kwa magazeti, ngoja sasa nijimwage!!View attachment 366628View attachment 366629View attachment 366630
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa tatizo la kuingia jf siku ya Jana, nawatakiwa week end njema wote
Uwanja ni wako sasa Mussolin5
Pole kwa tatizo hilo lililotukumba woteFinally nimefanikiwa kurudi
Morning all
Jana sijui kulikuwa na tatizo JF au mimi ila sikuwa naweza kupost application iligoma kabisa
Alaf kilichoniogopesha zaidi ni pale Jf ilianza kuzingua baada ya kumtusi bitoz kwa njia ya picha. Nkjua basi hapa tayar nmeshapigwa banPoleee, walipaswa kutujulisha mapema

Asante sana kikofia, nimemaliza kuzisoma, hii riwaya inaonekana itakuwa balaa maana imeanza vizuri sanakikofia nmeshafanya yangu tayari sasa kwa muendelezo wa episode ya 6 etc. Tukutane kesho wasaa kama huu huu.
Mlikuwa na wenu Mr. KUTAMBARIIING
Hata mi nilipata wasiwasiDah! Basi nkapata wacwasc kwel nkijua tayar nneshafunguwa Id zangu zote mbili
Yani hii riwaya mtunzi alitumia akili nyingi sana kuitunga.. hivyo badae kidogo ntashusha mwendelezoAsante sana kikofia, nimemaliza kuzisoma, hii riwaya inaonekana itakuwa balaa maana imeanza vizuri sana
Hivi ile ya danny kule jukwaa pendwa bado unaifwatiliaga?Asante sana kikofia, nimemaliza kuzisoma, hii riwaya inaonekana itakuwa balaa maana imeanza vizuri sana