Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Hapo sasa ndio wanapoharibuTz hawajui dhana ya uwajibikaji hata wafanya biashara nao vilevile, suala la kuomba radhi kwa wateja huona ni kujishusha thamani
Hapo sasa ndio wanapoharibuTz hawajui dhana ya uwajibikaji hata wafanya biashara nao vilevile, suala la kuomba radhi kwa wateja huona ni kujishusha thamani
SidhaniHivi huyu ana undugu na huyu rais wa sudani kusini wa sasa?
Poa sanaBasi ntakuwa nakushtua..
Jamaa anakimbia yule.Happy birthday Bale
AmenShukrani sana kwa historia, uwe na sabato njema
Msije mkampa taarifa Bitoz, leo ntamuandama bampa 2 bampa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ha ha ha ha

SanaaaJamaa anakimbia yule.

Embu nenda kachungulie nazan week iliyopita alishusha mzigoPoa sana
Utakuwa unanisaidia maana nachoka sana
Toka mwezi huu uanze sijaangalia kama GELE ameendelea
Shukran Likofia Likubwa+mandevu mengiSina la ziada toka maktaba yangu, tukutane kesho hapahapa kwa Udhamini mnono tena wa nguvu toka kwa Medeama.
Ntafanya hivyoEmbu nenda kachungulie nazan week iliyopita alishusha mzigo
Jibu ni NDIOisee ko na me ni kapuku!! maake me mgeni ...!!!
Karibu sana, nenda page ya 1 soma post namba 1 - 3isee ko na me ni kapuku!! maake me mgeni ...!!!
Comment ca va?Wooraah!!! Adje adje ku nyumba???
Comment allez-vousComment ca va?
Sina la ziada toka maktaba yangu, tukutane kesho hapahapa kwa Udhamini mnono tena wa nguvu toka kwa Medeama.

Ca va bien, et toi?Comment ca va?