Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
Saidia kuweka picha pale, zinagomaWalikuwa wanaweka mambo sawa......mfano now ukienda Jukwaa husika thread inaonrsha jina la mleta mada ,muda/trh na mada inavyoanza
..................
Saidia kuweka picha pale, zinagomaWalikuwa wanaweka mambo sawa......mfano now ukienda Jukwaa husika thread inaonrsha jina la mleta mada ,muda/trh na mada inavyoanza
..................
Ukipigwa ban kunatokea maneno mekundu YOU HAVE BEEN BANNED na application INA fanya kazi km kawaJambo jema, but wawe wanatoa taarifa kwani nilidhani nimepigwa kufuli
Saidia kuweka picha pale, zinagoma
Siku zote naamini usa hawajawa tayari kuongozwa na mwanamkeBinafsi ninamkubali sana Trumph
Wananchi wa dar ni washamba sana badala ya kwenda, kazini wanashangaa mazoezi ya jeshi huku mnazi mmoja
Kila kitu ni ushamba tu
Hata ingekua ni team ya motoni tungeishabikia tu ili mradi isiwe yanga tu rangi sio shida![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
................
Na iwe hivyo, ili Trumph apenyeSiku zote naamini usa hawajawa tayari kuongozwa na mwanamke
OkUkipigwa ban kunatokea maneno mekundu YOU HAVE BEEN BANNED na application INA fanya kazi km kawa
Ndo faida ya KF tunajuzana wenyewe pia wapo wenye mawasiliano nje ya JF mfano whatsapp
...............
Hata ingekua ni team ya motoni tungeishabikia tu ili mradi isiwe yanga tu rangi sio shida
TETEMEKO BAYA ZAIDI LILILOWAHI KUTOKEA
1) Je wajua?
Tetemeko baya zaidi lililowahi kutokea duniani ni lile la mwaka 1960, huko Valdivia- Chile, ambalo lilisababisha vifo vya watu 1700 nyuma ya tukio la tsunami iliyopoteza maisha ya watu 2000.
Tetemeko hilo lilikuwa na kipicho cha richa 9.4-9.6. Pia lilisababisha hasara ya dola 600 million.
Nchi ya Chile inajulikana kama nchi ya MATETEMEKOView attachment 366590View attachment 366591
Nilidhani ni mimi tu ndo ambae nilikuwa na tatizo hilo, ila afadhali sasa kila kitu kiko sawaJf ilipotea hewani mkuu