Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,301
Naomba kazi ya clearing bandarini wakuuMorning
Tusha agiza iko njian ma
Naomba kazi ya clearing bandarini wakuuMorning
Tusha agiza iko njian ma
Huko kuna magenge makubwa sana Uhalifu na biashara haramu kama Human trafficking, Madawa nkColombia Mexico issue za kumiminiana risasi ukizingua ni kawaida sana.... Sasa nchi zenye sifa hizo huwezi kusema zina amani
Hehehehe mbona watatukoma ikifika[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Morning
Tusha agiza iko njian ma
mipango iko njema ila nasubiria Sabato iishe kwanzaAsante.....
Mipango ya week end iko vipi lakini??
AsanteeeeView attachment 362165View attachment 362166View attachment 362167
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa BMW 750 sina la zaidi kutoka katika kurasa za magazeti yetu ya Leo
Nawatakia weekend njema
Ciao!
Halafu serikali zao ziko kimya kwasababu inasemekana hawa wauza unga wanazifadhili serikali kwa maswala kadha wa kadhaHuko kuna magenge makubwa sana Uhalifu na biashara haramu kama Human trafficking, Madawa nk
Hapo nimekupataViongozi wengi waAfrica na America ya Kusini waliouwawa au kupinduliwa ni matokeo ya kupishana mitazamo na NATO hasa Marekani.
Kama kigezo ndo hicho bas sawaKigezo uzungu
Leo katika Historia:
1990 - Danny Rose anazaliwa. Ni beki wa kushoto wa Tottenham na timu ya taifa ya England.
Mkuu na wewe uwe unaeka na picha ili twende sawaLeo katika Historia:
1987 - Esteban Granero kiungo wa zamani wa Real Madrid azaliwa.
Eeeh![]()
![]()
Zaire Flag
............
PichaaaaaaMpaka hapo sina cha ziada, tukutane tena kesho hapahapa kwa Udhamini wa Wales.
Sawa kabisa, yamebaki masaa machache tu bata lianze[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]mipango iko njema ila nasubiria Sabato iishe kwanza
Ni shida kubwa sanaAsanteeee
Ila magezet ya shigongo ni shda
Njema kabisa briz.... Habari ya wewe?Habari za wikend FAMILIA??
Happy sabath mkuu Mussolin5!!mipango iko njema ila nasubiria Sabato iishe kwanza
Wine bado[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Morning, naona kijana anazid kujitutumua anaenda extra mile sasa.. Vp lakin ile wine alishakuletea?
Njema kabisa dadake hope umeamka salamaNjema kabisa briz.... Habari ya wewe?