Maradonna
Senior Member
- May 24, 2016
- 183
- 649
Nipo sana mkuu tunapishana tu habari ya kwako?Kijana umepotea sana...
Nipo sana mkuu tunapishana tu habari ya kwako?Kijana umepotea sana...
Leo katika Historia;
1925 - Patrice Lumumba anazaliwa. Alikuwa ni Waziri Mkuu wa kwanza wa Congo zamani Zaire.
Aliuwawa kikatili mwaka 1961 chini ya Dikteta Kanali Joseph Desire Mobutu
Leo katika Historia;
1986 - Lindsay Lohan msanii kutoka Marekani anazaliwa.
Mkuu poa sana huku hakuna shida wewe vp?Poa sana kiongozi, umeamkaje huko
Leo katika Historia:
1987 - Esteban Granero kiungo wa zamani wa Real Madrid azaliwa.
Mungu ni mwema mkuu tupo poa sana...Nipo sana mkuu tunapishana tu habari ya kwako?
Mbaya sanaLeo katika Historia:
1994 - Mchezaji Andres Escobar wa Colombia anapigwa risasi na kufariki huko kwao Colombia baada ya kujifunga goli kwenye kombe la Dunia na kusababisha timu yake itolewe kwenye mashindano.
Poa sana, tuko kijiweni kwetu makapuku weekend hiiMkuu poa sana huku hakuna shida wewe vp?
Ndo sehemu sahihi ya kupata habari na kuondoa stress mkuu...Poa sana, tuko kijiweni kwetu makapuku weekend hii
Leo katika Historia:
1990 - Danny Rose anazaliwa. Ni beki wa kushoto wa Tottenham na timu ya taifa ya England.
Leo katika Historia:
1994 - Mchezaji Andres Escobar wa Colombia anapigwa risasi na kufariki huko kwao Colombia baada ya kujifunga goli kwenye kombe la Dunia na kusababisha timu yake itolewe kwenye mashindano.
R I P LumumbaLeo katika Historia;
1925 - Patrice Lumumba anazaliwa. Alikuwa ni Waziri Mkuu wa kwanza wa Congo zamani Zaire.
Aliuwawa kikatili mwaka 1961 chini ya Dikteta Kanali Joseph Desire Mobutu
Leo katika Historia:
1999 - Mario Puzo anafariki Dunia.
Huyu ni mwandishi maarufu sana ambapo ameandika Riwaya maarufu za Godfather.
AsanteHongera sana