Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Karibuasante kwa magazeti.
Leo katika historia inafata punde.
Karibuasante kwa magazeti.
Leo katika historia inafata punde.
Tupo tunapata yaliyojiri siku kama ya Leo miaka tofauti iliyopitaWakuu mpo?
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Mpaka hapo sina cha ziada, tukutane tena kesho hapahapa kwa Udhamini wa Wales.
Happy Birthday LindsayLeo katika Historia;
1986 - Lindsay Lohan msanii kutoka Marekani anazaliwa.
Huyu Esteban ni mlatino??Leo katika Historia:
1987 - Esteban Granero kiungo wa zamani wa Real Madrid azaliwa.
Kwa namna hii hili jukwaa linaweza kuishi milele hata zaidi ya JF kwa ujumla wake mkuu.Tupo tunapata yaliyojiri siku kama ya Leo miaka tofauti iliyopita
Ntaitafuta nipate kuipitia hiyo GodFatherLeo katika Historia:
1999 - Mario Puzo anafariki Dunia.
Huyu ni mwandishi maarufu sana ambapo ameandika Riwaya maarufu za Godfather.
Asante sana mkuu kwa historia, nakutakia week end njemaMpaka hapo sina cha ziada, tukutane tena kesho hapahapa kwa Udhamini wa Wales.
Colombia nako hakuna amaniLeo katika Historia:
1994 - Mchezaji Andres Escobar wa Colombia anapigwa risasi na kufariki huko kwao Colombia baada ya kujifunga goli kwenye kombe la Dunia na kusababisha timu yake itolewe kwenye mashindano.
Inahuzunisha sanaaa
Hongera sana, umelipa deni la leo, Mungu akutie nguvu uendelee kuupa uhai uzi huu tishioMpaka hapo sina cha ziada, tukutane tena kesho hapahapa kwa Udhamini wa Wales.
Nawe big up kwa kunogesha kwa mapichapicha imekoleza utamu[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
..........
Mkuu yamkini mtu aiswepo Arusha ila akawa anaijua Arusha vizuri sana pia..Karibu.Wakuu nikiamini hapa kuna watu kutoka kila kona ya nchi hii kama kuna mwenyeji vizuri wa Arusha ani pm kuna jambo nataka kujua kidogo.
In addition US President Lyndon B. Johnson Signs the Civil Rights Act of 1964Leo katika Historia;
1986 - Lindsay Lohan msanii kutoka Marekani anazaliwa.
Daah itafute mkuu...hatari sana. pia kuna movie yakeNtaitafuta nipate kuipitia hiyo GodFather
hahaha...unajua sana kuziotea.Asante sana mkuu kwa historia, nakutakia week end njema
Kwa hisani ya 64K
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
asante mkuu...Hongera sana, umelipa deni la leo, Mungu akutie nguvu uendelee kuupa uhai uzi huu tishio