Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,322
- 68,399
cc Jimena umemuona Granero, alikipiga hadi QPR
cc Jimena umemuona Granero, alikipiga hadi QPR
Jamaa aliuwawa na watu wa kubet
Alikuwa ni mjamaa halisi na ndio uliomponza kwani alikuwa tofauti na Nchi za MagharibiR I P Lumumba
Ahsante...
wala sio kama hakuna amani ila watu waliokuwa wamebet waliona jamaa kawafungisha makusudi, hivyo wakampa hukumu yake.Colombia nako hakuna amani
Sio kuziotea, Bali najua timinghahaha...unajua sana kuziotea.
haya bhana...umetisha.Sio kuziotea, Bali najua timing
Hii dunia umafia sijui utaisha lini?Alikuwa ni mjamaa halisi na ndio uliomponza kwani alikuwa tofauti na Nchi za Magharibi
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Sio kuziotea, Bali najua timing
Siku Nato ikidondoka.Hii dunia umafia sijui utaisha lini?
Sio nchi tu...... Tunatokea pande tofauti za hii duniaWakuu nikiamini hapa kuna watu kutoka kila kona ya nchi hii kama kuna mwenyeji vizuri wa Arusha ani pm kuna jambo nataka kujua kidogo.
Y nato!Siku Nato ikidondoka.
Kwani NATO ndio wanaofanya umafia hauishi??Siku Nato ikidondoka.
Hakika nimekubali nimepata majibu kwa haraka kuliko nilivyokuwa natarajia shukrani zangu za dhati kwa familia hii.Sio nchi tu...... Tunatokea pande tofauti za hii dunia
Colombia Mexico issue za kumiminiana risasi ukizingua ni kawaida sana.... Sasa nchi zenye sifa hizo huwezi kusema zina amaniwala sio kama hakuna amani ila watu waliokuwa wamebet waliona jamaa kawafungisha makusudi, hivyo wakampa hukumu yake.
Asante.....haya bhana...umetisha.
Viongozi wengi waAfrica na America ya Kusini waliouwawa au kupinduliwa ni matokeo ya kupishana mitazamo na NATO hasa Marekani.Kwani NATO ndio wanaofanya umafia hauishi??
Y nato!
Bora umemfunguaSio nchi tu...... Tunatokea pande tofauti za hii dunia