Hongera sanaView attachment 362165View attachment 362166View attachment 362167
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa BMW 750 sina la zaidi kutoka katika kurasa za magazeti yetu ya Leo
Nawatakia weekend njema
Ciao!
asante kwa magazeti.View attachment 362165View attachment 362166View attachment 362167
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa BMW 750 sina la zaidi kutoka katika kurasa za magazeti yetu ya Leo
Nawatakia weekend njema
Ciao!
Twasubiriaasante kwa magazeti.
Leo katika historia inafata punde.
Wanajisahau sana wanafikiri bado ni nyakati zile za giza!![]()
"RONALDO AIPELEKA URENO ROBO FAINALI"
Magazeti ya Bongo upuuzi mwingi hivi wanadikiri wasomaji wao ni maandazi na tunaishi vijijini.....Yanaboa
Ujinga mtupu wkt ni NUSU FINAL na mechi yenyewe alifulia
Wapunguze kutulisha matikiti pori
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
.,..............
Tupo mkuuWakuu mpo?
Habari ya hapa kistone?Tupo mkuu
Mkuu baba mtumish habari ya leo ndugu?Manuu unapita kimya kimya y!
Kijana umepotea sana...Habari ya hapa kistone?
Habari tumezipata kwa jimena, twamsubiri musolin5 naye atuletee, kama unazo pia waweza share nasiHabari ya hapa kistone?
Poa sana kiongozi, umeamkaje hukoMkuu baba mtumish habari ya leo ndugu?