Makapuku Forum

Makapuku Forum

wala sio kama hakuna amani ila watu waliokuwa wamebet waliona jamaa kawafungisha makusudi, hivyo wakampa hukumu yake.
a1e7bc0b0152f4e3af71a83d02c668c5.jpg
6c71efa602e4b786810afa050d9c3676.jpg
211b7999ffb85e401c7045b6214042e5.jpg
2b331fda198443c1f8b1436880f2b75a.jpg

WaliBET pesa ya sikukuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
 
Ndio maana ake. Hayo makundi yana nguvu kuliko Serikali. Rejea hata kifo cha JFK, alipishana na Mafia mob kuhusu Cuba.
Hilo ni tatizo kubwa sana

Mi huwa napenda culture yao natamani siku moja niende vacation halafu nikiwa room nisikie music kwa mbaliii nikichungulia dirishani nikute kumbe nimeletewa band inaniimbia yani siku hiyo... Sitalala kwa furaha
Lakini tatizo amani hawana ya kutosha
 
Usifohu hutadhurika, ukatembee tu
 
Back
Top Bottom