Kigezo uzunguMbona average tu, sijui wanatumia vigezo gani hawa jamaa
Hongera kwao pamoja na family woteUko vizuri mkuu, umefukunyua vizuri kwenye mazingira yaliyotuzunguka humu humu... Hongereni Jimena na Bitoz
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Wako wawili mmoja anajiita kahtanHuyo jamaa sijawahi kumuona hapa lakin anaonekana sana kwenye majukwaa mengine hasa MMU
Ujumbe mzito