Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
_MME na MKE walikubaliana WAPEANE talaka TENA mahakamani,KUFIKA mahakamani_
_JAJI=sasa nyie mnao watoto watatu mtagawana vipi hao watoto???_
_Mke na mme wakajadiliana paaaleee,wakaamua wamwambie JAJI kwamba ''NGOJA TURUDI NYUMBAN TUKAONGEZE MTOTO MMOJA WAWE WANNE ILI TUGAWANE WAWIL WAWILI,BAADA YA MWAKA TUNARUDI''_
_baada ya MIEZI TISA kupita,WAKAPATA MAPACHA_![]()
They have no ujanja
.........

